iqna

IQNA

Pateemoh Sadeeyamu
Waislamu wa Thailand
TEHRAN (IQNA) - Thailand imemteua gavana wa kwanza mwanamke Mwislamu katika jimbo la kusini la Pattani katika kitendo ambacho waangalizi wanaamini kinaweza kusaidia kumaliza migogoro.
Habari ID: 3476104    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/17